Na Francis Godwin,
April, 2014

KAMPUNI ya  Asas Group ya  mkoani  Iringa  imekabidhi msaada  Samani  meza zenye thamani  ya zaidi ya  Tsh milioni 5 katika  shule ya Msingi Matembo kata ya  Kising’a katika Halmashauri ya wilaya ya  Iringa .

Soma zaidi >>