Na Francis Godwin, 28/12/ 2014

Kampuni ya maziwa ya Asas Dairies Limited imewapongeza wateja  wake kwa  kuendelea  kutoa ushirikiano kwa  kutumia bidhaa  zake.
Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu alisema  hayo  leo  wakati akitoa  salam  za mwaka mpya 2015 na  kutambulisha mwonekano mpya  wa  kisasa  zaidi wa chupa  za maziwa  ya kampuni   hiyo kwa  sasa.
Alisema  mbali  ya mafanikio makubwa  ambayo kampuni  hiyo  imefanikiwa  kuyafikia kwa kuendelea kupata tuzo ya  ubora  wa  maziwa  kwa  miaka takribani  miwili  sasa  bado  kampuni  hiyo  imejipanga kuendelea kuboresha na kuongoza .

Soma zaidi>>