Na Francis Godwin,
June, 2014

KAMPUNI ya maziwa ya Asas Dairies Ltd ya  mkoani Iringa kwa mara ya pili mfululizo imefanikiwa  kuongoza kwa  ubora  wa  uzalishaji wamaziwa baada ya  kukabidhiwa  tuzo ya mshindi wa kwanza kwa  viwanda vya maziwa bora nchini Tanzania kwa  kuzibwaga vibaya kampuni   30 zilizoshiriki.

Soma zaidi>>